
02:53:08
Hi. every one this is Tilumanywa Mkama

03:11:41
I cant hear any of you guys

04:21:09
Hi everyone! I'm Ezekiel from Tanzania. I've joined your session just for acquiring knowledge but I can't hear you.

04:24:27
the meeting starts in the next 45 minutes

04:24:50
In less than 3 hours .. *TZ Diaspora stories from the Covid-19 Frontlines* Habari TZ Diaspora na Nyumbani: Karibuni Jumamosi hii Machi 28, 2020 Kujiunga boyfa hapa: zoom.us/j/2716710258 11am EST/ 10am CST/ 8am PST/ 3pm GMT/ 6pm EAT / Saa 12 jioni Afrika Mashariki DICOTA, ikishirikiana na TUHEDA, tutaratibu majadiliano na Madaktari na Wauguzi WaTZ walio mstari wa mbele kukabiliana na janga la COVID-19 .. UK, Canada na USA. == Dr. Gideon Mlawa, London UK Dr. Donatus Mutasingwa - Toronto, Canada Dr. Nasibu Mwande - Carlisle, UK Dr. Kurwa Nyigu - Virginia, USA Dr. Hamza Hassan - London, UK Moderator: Dr. Frank Minja - Connecticut, USA == Tunawashukuru wote kwa ujasiri wao, kwa niaba yetu na familia zetu. Karibuni sana 🙏🙏

04:26:24
That's perfect, thanks!

04:27:18
Karibu.

04:38:35
Please mute yourself

04:48:49
whats happening now?

04:50:15
nasikia sauti za milango sijui 🤷🏽‍♀️

05:17:56
pls automatically mute all

05:18:57
not clear

05:24:04
Kwakuwa huku Tz hatujaanza kupima hata wasio na dalili zozote, je tutaweza kudhibiti mlipuko

05:25:58
Nadhani tukisisitiza social distancing kwa kadri inavyowezekana itasaidia sana. Yaani wale wenye ulazima wa kutoka nyumbani ndio watoke huku wakijihadhari (kufunika pua nk itasaidia.

05:26:01
Takwimu zinasema nini kuhusu mlipuko unavyoongezeka mpaka kufikia PEAK

05:26:01
Tz wagonjwa waloingia recently wamewekwq quarantine but with no supervision so I was told , isn’t this a high risk ?

05:26:22
yes we can hear

05:29:55
Habari za leo ndugu zangu… nimefanikiwa kujiunga muda huu… kutoka Paris, Ufaransa

05:33:35
chief minja hatukuoni kwenye video

05:35:13
DR Mlawa so after confirming COVID-19 je ni hospitali inahusika na contact tracing?

05:36:30
and so far kwa COVID-19 cases mlizopata what is the number so far ambayo imekuwa traced as far as the contacts are concerned?

05:48:57
Dr. Minja, sijui kuna wakati ambao utaturuhusu kuawuliza maswali madakari wenu ninyi?

05:54:17
Please Colleagues can we stop saying hii ni kama "Mafua ya Kawaida" because Covid-19 is not...

06:01:03
For Tanzania..i like the lesson...simulation..

06:01:46
and covid 19 suspect client flow..

06:02:08
simulation very useful indeed...

06:03:42
Tz tuna regional na district hospitals..simulation a must..tupate na standard video ya simulation..au WHO wanayo ?

06:04:14
can we slso talk more on symptoms and test results. any symptomatic diagnostic

06:07:50
please also share experiences of reinfections and false negatives

06:08:39
Kuna mmoja wa mgonjwa ambaye Ni black America,amekuwa akionekana Sana you tube alitoa ushuhuda kwamba alikuwa na fever na cough for 4 days,then anaenda hospitali akaambiwa kwamba Ni mafua tu yatasubside,until alipofaint nyumbani na kumpelekwa hospitali,alipotest Mara 2 akaonekana negative,Hali ikazidi kudetereorate then Mara ya 3 walipompima ndio wakaconfirm yuko infected na COVID 19,so hapo sensitivity n specificity za hizi tests zipo vipi,na je Kuna chance ya kupata false negatives kwa kiasi gani.n which test is highly recommended as far as specificity n sensitivity is concerned

06:10:18
Muhimu, sio lazima uwe na insurance kama unaishi marekani kuwa screened na daktari ... muhimu kuongea na daktari yoyote anayoishi karibu na wewe akushauri.... Hospitali za serikali zina madaktari wanayo screen na kutoa ushauri bila malipo na

06:13:05
I have known a patient with suspected of covid but at home advised by nhs for self isolation , she has low grade fever , myalgia, headache , dry cough on and off and also painful eyes lik conjunctivitis and I read another patient also high suspect of covid with similar symptoms with conjunctivitis like symptom .

06:14:47
Hongereni sana kwa maelezo mazuri mlioyotoa

06:14:49
Dr. Mlawa Ninaomba kuuliza Zaidi ni nani anahusika na contact tracing?

06:15:19
Hi Celina, Quite certainly.. your rationale request is within ground! Tatizo watu wengi wamekuwa misinformed kuhusu hii virus, thus the main reason why majority of us have joined this platform. Going forward... Following in details of what’s being discussed here, the previous speaker ameongelea special team arrangements of 4 katika hospital (Doctors, Nurses, Special Assistant pamoja na Runners)... This begs the question of the numbers of such experts available in Our healthy system in Tanzania, just incase the situation escalates?

06:15:32
Dr. Hamza good to learn kuwa unaendelea vizuri. Thanks for sharing

06:16:16
Tanzania bado wanaruhusu watu kwenda misikitini na makanisani. Kama shule n avyuo vimefungwa. Je nyie kama mabingwa wa afya mnawasemaje kuhusu swala hilo?

06:16:42
Swali la airborne/aerosol halikujibiwa wiki iliyopita. Kwa hiyo ni kweli inakaa hewani kwa massa kadhaa, hivyo, mtu unaweza kuvuta tu hewa ukaipata? Kama ndiyo, ina maana inabidi tuvae barakoa/mask?

06:16:56
Dr Hamza atueleze zaidi remedy alivyo tumia. Ni vizuri atupe zaidi alitumia painkilers kivipi etc . Please tunahitaji Dr Hamza arudi kuelezea perspective ya mgonjwa. Asante

06:17:12
as

06:17:49
Hi Dr Hamza, pole and it’s good to know you are well. How well are we prepared in Tanzania?

06:17:56
dr hamza which painkiller exactly did you use we did like to know , thanks .

06:18:10
@Dr. Hamza, pole sana.1) Would you kindly share maintenance medicines that you used for comfort and healing?2) Once one recovers from COVID, what are the chances of getting the disease again?

06:18:35
Dr. Hamza alikuwa anaeleza jambo la msingi kuhusu jambo lililomsaidia

06:19:04
Dr. Hamza, pole sana

06:19:17
Pole sana Dr Hamza

06:19:35
Pole sana Dr Hamza kwa kuumwa Naomba tafhadali tumeudishe

06:19:38
can we have dr Hamza complete how he treated himself please

06:19:47
tumrudishe

06:19:56
Pole sana Daktari Hamza

06:20:07
Pole Dr. Hamza.Tunaomba umpe nafasi Dr. Hamza amalizie kwenye remedy.

06:20:07
Pole Sana Dr. Hamza

06:20:23
pole sana Daktari

06:20:23
Thank you Dr Hamza for sharing, pole sana! hope utapata nafasi kumalizia kuhusu remedies etc

06:20:43
Ningependa kujua hatua za kitafiti kuhusu maendeleo ya upatikanaji wa chanjo na tiba. Vipi kuhusu dhana ya matumizi ya choraquine kama ilivyotajwa na Rais Trump wa Marekani

06:20:56
we need a session just on Dr Hamza alone

06:21:41
Naomba umrudishe Dr Hamza amalizie remedy aliyotumia

06:21:42
Hivi kwa nini Task Force iliyoundwa na serikali isiwe na Jopo na Wataalamu, alafu kiongozi mkuu wa kutoa taarifa awe Dr aliyebobea sio Waziri. Dr anaeleweka zaidi kuliko waziri. Hilo mnashauriana vipi

06:21:56
mmmmh. jamani msituate hugo amepotosha watu mpaka wamekufa.

06:22:38
corr. msimfiate huyo amewapotosha...

06:22:53
Maambukizi Je ni airborne pia?

06:22:54
swali kwa Dk Mlawa. Je, Kuna utafiti wowote unaoendelea kwenye hospitali yako kuhusu dawa zinazoweza kuleta ahueni na kuponya COVID-19. mfano, ni Nini mnakifanya kutibu lymphopenia.

06:22:55
Huyo nani @Cecilia?

06:22:58
@ Prof Minja what is the current situation in Tanzania. In view of quarantee all positive patients?

06:22:59
ahsanteni sana.niteleza tiba nilizotumia.pamoja kuwa covid 19 haina dawa

06:23:45
pole sana Dr Hamsa

06:23:55
nice to you smiling

06:24:05
nafikiri kwa preventative measures na hata handling ya wagonjwa au suspected wagonjwa, kwa Tanzania tuna fursa ya kuwa na guidelines ambazo ni hybrid ya kutoka kwa nchi na organization nyingine ili kuwe na uniformity kuanzia zahanati, Kituo cha afya, mpaka hospitali kuu.

06:24:32
Poles sana Dr. Hamza, ni muhimu utueleze namna ulivofanikiwa kutumia tiba mbadala

06:26:28
Breaking News in Uk : 260 deaths in past 24hrs

06:26:28
Je kuna ambaye amepona na akapata infections tena?? na Je kwa walio pona kuna ambaye imererapse tena??

06:27:18
UK deaths now over 1,000

06:27:30
is it true that with covid 19 you can get re-infected ?

06:27:41
will you send us REC of this discussion?

06:28:04
@Oscar Kapera, Kwa huku China kuna case 1 ilitokea kwa mgonjwa mmoja laiyekuwa na hiyo COVID-19, alipona alafu tena akawa ameupata tena. Lkn alikuja kupona tena

06:28:15
yes the recording will be sent

06:29:12
Naomba kujua kwanini watalam wa wetu wa Afya wanaathirika pia? Je hawafuati IPC vizri au tatizo ni nn??

06:29:27
Nitashukuru kupata rekoding ya mjadala huu kwani sisikii chochote labda setting zangu..

06:31:20
virus vinawezakuonekana kwenye mwil baada ya muda gani?? au lazima dalili zianzekuonekana

06:32:51
sijaelewa how comes kwamba mtaalam anaenda kutibu bila kuwa na PPE??

06:33:38
nataka kujua... barakoa ya aina gani inaweza kuzuia virusi vya corona

06:34:13
Just FYI, Recording huwa inatumwa baadae kwenye social media. So mnashauriwa ku connect na Dr. Frank Minja kwenye Twitter

06:34:14
je barakoa za kitenge zinafaa kwa kujikinga?

06:34:16
suala la kuvaa mask ni lazima tutoe na kuelewa umuhim na kwanini mask zinavaliwa na kwa wakati gani tutatatua changamoto wa mask

06:34:26
kwa Tanzania wanapima vipi...UK kupimwa ni mpaka uwe unaumwa sana na wameshasema hawatapima wote...

06:35:48
Kwa kuwa kuna mfumuko wa wagonjwa wengi sana, eg New York. Kwa kila mgonjwa unahitaji one PPE full for one encounter for each pt. sasa basi Kama kuna wagonjwa wengi sana ,ni ngumu. New York nurses wanavaa garbage bags

06:35:54
kuna anaefahamu COVID 19 confirmed cases wanatibiwa wapi has hapa Tanzania?

06:36:37
Yes. Huku USA ukienda Etsy website KAAGIZIE KWA AJILI YA FAMILIA YAKO ~Mkienda sokoni etc. Mkifika tu nyumbani weka ndani ya mfuko kazifue na Bleach na sabuni. Possibly make sure seller is not from a heavily infected country or area (Follow the news)

06:36:50
as the numbers are increasing in our hospital, as of yesterday, healthcare workers are expected to wear masks.

06:37:29
Tungependa kujua statistically, medical personnels wangapi mpaka sasa wako infected na covid19 kwa nchi wanayojua hiyo data.

06:38:12
Swala la Barakoa ni nyeti mana hata sasa kunaonekana kuwa ziko chache especially N95.

06:38:14
for countries like Tanzania that have substantially higher HIV (immune compromised sickness). does our curve look the same as the west?

06:39:15
kwa maelezo ya dkt kuhusu matibabu nahis n kutumiankila ulichonacho kutibu make vyote alivyosema n hakuna specific

06:40:55
Hawkins enough data to show Kama watu wenye VVU wake katika higher risk of kupata corona

06:41:07
next Tuesday, scientific symposium on COVID-19.

06:41:13
hakuna, wako

06:41:37
Wapi Prof Makani? Link???

06:41:38
Dawa gan mpaka saa hizi imeonesha mafanikio kwa zile zizopo kwenye trial??

06:42:01
Nadhani alikuwa alijaribu kutibia kila symptom aliyopata...akipata mafua anatibu,kikohozi anatibu,homa anatibu,na maumivu hivyo pia...na amejaribu kutibu vitu hivyo vyote kwa both dawa za kienyeji na za kisayansi

06:42:04
link will be shared

06:42:17
Asante Prof.

06:42:27
sharing Trevor Noah interviewing Dr. Fauci https://youtu.be/8A3jiM2FNR8

06:42:48
Thank tou Dr. Hamza, would you kindly share the medication intervals as you took a lot of them. Asante

06:43:01
Dr Hamza ukipona na mkeo pia, mna mpango wa kusanitize nyumba yenu? if yes kwa njia gani?

06:43:02
Frank will share. karibuni sana. Tuesday, 31 March 2020. 3pm Tanzania time

06:43:40
long team effects za CORONA ni zipi?? Je kuna effect kwenye mapafu na ini na figo?? kwa wale wanaoumwa Je LFT ipojè??

06:43:49
Asante Prof. Ziko helpful sana for regular updates.Everything is new when it comes to Covid19

06:44:38
Kuna madaktari hapa kutoka China watupe uzoefu wao kuhusu strategies zilizotumika China?

06:44:46
Tunashukuru Sana kwa kutupa his fursa ya kusikiliza ndugu zetu waliopo kwenye frontline ya kutibu Corona

06:44:53
kirusi kinakaa hewan au kwenye surface kwa muda gani ili kujua basics za kudesinfect mitaa na nyumba

06:44:55
yes please

06:45:11
tunaomba Link Profesor Makani

06:45:38
Nashauri if possible huko nyumbani MEWATA na MAT waanze vipindi ktk radio na TZ kutoa elimu na taarifa sahihi kuhusu COVID- 19 . itasaidia umma

06:45:56
Dr Mlawa.tunaomba kujua wagonjwa walio mahututi mnawapatia matibabu gani??

06:46:03
Thanks for this, brilliant idea!

06:46:18
couldn’t agree more Deborah

06:46:28
taarifa sahihi zinatolewa na vipindi kwenye media binaratibiwa na WIZARA YA AFYA KUPITIA KITENGO CHA ELIMU YA AFYA KWA UMMA

06:46:29
answer: Placing patients on Prone can help patients in severe respiratory distress: The use of Rotor Beds.

06:46:36
dr Mlawa. angeshare management protocol ya hospitali yao. hiyo hiyo supportive mgt

06:47:53
Swali: Je, ventilators Mpya zinazotengenezwa (newly designed and developed) ambazo zimethibitika kiuhandisi kuwa zinaweza kufanya kazi zinaweza kuruhusiwa kutumika moja kwa moja kwa majaribio au utaratibu upoje ili ziweze kutumika kwa matibabu ya wagonjwa; kwa kuzingatia kwamba ndiyo vifaa vya muhimu sana kwa Wagonjwa mahutiti wanaohitaji msaada huo?

06:48:07
Kama wewe si mgonjwa wanashauri kutovaa Barakoa km huhitajiki kuivaa especially mtaani. kwa kuwa unaweze utajigusa machoni km mikono ikigusa macho anyways...

06:48:14
Felicia plz naomba unitumie hiyo Link kupitia +255765263443

06:48:24
moderator can you share link ya databases uliyo display?

06:48:32
IS THERE ANY PHYSICIAN IN TANZANIA WHO CAN SPEAK TO EFFORTS BEING DONE IN HEALTHCARE FACILITIES TO PROTECT OTHER PATIENTS OR HEALTHCARE WORKER??

06:48:50
Asanteni sana kwa kushare experience. is possible kwa patient wa corona ambae hajaonesha symptoms kuambukiza wengine?

06:49:00
sharing for healthcare profession resources I personally use; https://www.covidprotocols.org/

06:49:49
tumedisinfect nyumba yetu baada ya sisi kupona..

06:49:58
Pole sana Dr Hamza! Thanks for sharing. I am now 99.9% certain i had COVID back in January after traveling from DC to Bukoba via ADDIS to Entebbe. About Day 6 in Bukoba i had a soar throat, cold and a temperature. I cut my trip shot and came back to the US through South Africa. From DAR to New York only had water with Lemon which prompted Flight attendants to question if i was fine. I couldn't taste or smell. Day 8 i was back in the US. Day 10 I took Uber to the ER at Duke Hospital. I was treated for dehydration and Bronchitis. I was prescribed CIPROFLOXACIN and flonase. While waiting in the ER i given "Tylenol" and "something for pain. I am allergic to Ibuprofen.At about the same time my Mom was rushed to the hospital in Bukoba with similar symptoms with breathing problems. She was given antibiotics and breathing treatment.

06:50:53
please sana agnetta

06:50:57
inaonekana kuwa mlipuko wa ugonjwa huu umeleta hofu na unasisitiza watu kuepuka msongamano...hii imepelekea uhaba wa uoatikanaji wa damu katika nchi kadhaa imewahi ripotiwa mfano Marekani. vipi hii Hali inakabiliwa vipi?

06:51:44
Agneta what was the prognosis ya mama huko BK

06:52:30
je!kufuta simu na laptop with sanitizer inasaidia?what about Methylated spirit?

06:53:27
Agnetta, pole. vipi mama na contacts wake huku Tanzania waliendeleaje?

06:53:46
pole sana Agnetta

06:55:17
Agnetta pole. how are you doing now?

06:55:51
so there is more cases in Tz but undetected

06:56:15
mlioko Tanzania ktk community, mnafikiri tuna more than 13 cases labda only that watu hawajapimwa wanaugulia majumbani?

06:56:18
Je PPE inatakiwa kuvaliwa kwa muda wa masaa mangapi?? Je unawezakuitumia kwa wagonjwa tofauti?

06:56:20
Ahsante wote. please note thatI spent the 5 days with my Mom who is bedridden. Here in the US i live alone. Essentially i was "quarantined". I was out of work for weeks for the first time.

06:56:36
na mask iantakiwa kuvaliwa kwa masaa mangapi??

06:56:54
pole sana @Agnetta. Hopefully Mama is well and sound as we are chatting now... Did she use local herbs to help her as well? Does your Mom live in the village? Is she still working?

06:57:08
Je? Kama unaishi na mgonjwa wa corona au uko front line ktk sector ya afya, nguo zako zinatakiwa kufuliwa kivipi? Nguo nazo Zinaweza kubeba virusi?

06:57:43
Appreciate you all panelists for all you do.. mmetupata global overview nzuri ya health systems and how you are dealing with the current challenge

06:57:57
Dr agnetta tunaomba video plzzzzzz

06:58:50
are the symptoms worse than malaria?

06:59:14
case ya Agnetta ndio imenifanya niwaze na kuuliza Hilo swali hapo juu. I heard in January there was a lot of flu like illness in Dar, could it have been COVID-19... thinking aloud

07:01:15
Back in Dec I had same symptoms as what is being explained on COVID 19 ....Inaweza kuwa ndo hii ya sasa...niliumwa wiki nzima and it was serious.... mafua joto kali homa I mean up to 39°C.

07:01:41
Well around January there was a spike in Influenza cases in Tz as a whole, that is from the National Influenza Surveillance

07:01:46
Lakini kwasasa ningependa kujua tukirudi nyumbani kutoka kazini inakuwaje umeshaoga vipo kuhusu nguo zile

07:01:58
I think there is a possibility

07:02:52
maana kama ukioga na kunawa na kupaka sanitize....but nawaza nguo....na vitu ambavyo umebeba kama pochi.... mifuko?! Inakuwaje?!

07:02:55
So, I believe it wasn't Covid-19, otherwise the cases would have been more serious.but you can't rule it out for sure

07:03:07
I had same symptoms here in Dar in Dec 2019

07:03:14
my husband had similar symptoms like Agnetta amd was not tested for COVID

07:03:28
so seems many have been experiencing symptoms but not confirmed ...right?

07:03:46
Nguo unazovaa nje ~ fua. Pochi chagua utakayoweza futa kwa mchanganyiko wa bleach

07:04:01
in dec those symptoms prevailed here in Dar

07:04:12
Asanteni for your responses. Stay safe y’all

07:05:53
hongera sana kwa watanzania wanajutahidi sana kila sehemu kuna ndoo za maji na sabuni

07:06:08
It was CoVID-19 alright @Makune. Remember 80%+ survive it. And because Agnetta has been taking vitamins regularly her immune system was good. I suspect that her mother survived as well because of organic food and herbal remedies she used....

07:06:15
Wizard kitengo cha elimu iwashirikishe MEWATA ktk vipindi vyao maana MEWATA inaaminika na kusikilizwa na jamii considering their previous health advocacy

07:06:20
hadi vituo vya bodaboda na maduka madogo...masokoni....aisee watanzania wamejitahidi sanaaa

07:06:23
Thank you for the discussion. Very informative

07:06:26
mabus hayajai sanaa

07:06:31
wizara

07:06:56
Thank you Dr Deborah, It will be great for the that to happen

07:07:13
apologies I left to attend familia hope haven’t missed much

07:07:18
Thanks All for your contributions

07:07:19
Doc na wahudumu wote sana afya hongereni sana na tunawashukuru sana kwa kujitoa kweli kuanzia kutoa elimu na kuhudumia waliopatwa na janga hili.... hongereni sana na Mungu awabariki

07:08:27
asante sana Felister

07:08:38
Dr. Minja asante sana, je timu hii inaweza kutoa ushauri kama timu ya wataalamu kwa Serikali yetu

07:09:15
Kindly remember that COVID 19 is not death sentence... up to 90% of infected individuals survive 100%...

07:09:20
Poleni sana Wataalam wetu wa Afya Kwa kazi ngumu mnazofanya kusave maisha ya watu.. Mungu atawakinga.

07:09:55
Thank you frontline Drs

07:10:15
naomba kuwa whats app group

07:10:44
Je kirusi kinapenya kwenyw ngozi make ukivaa gloves kama hutokuwa makini ukagusa usoni nahis hakuna kinachosaidia

07:11:16
great job and thanks to the frontliners.

07:11:24
I really THANK the Bukoba hospital and its staff. My family said they saved Mom's life.She also had a mild stroke while there. WELL DONE🙏🙏

07:11:35
Sawa irenca- inbox me your number at +13017932833 and I will add

07:11:36
we’ll keep on staying home for you 🙏

07:12:24
pĂ´le sana Agnetta

07:12:59
Asanteni Madaktari kwa kazi kubwa mnazofanya, Poleni mliopata dalili. Mmenisaidia sana.

07:13:05
mimi nafanya kazi na mtandao wa Radio za Jamii Tanzania- Community Media/Radio....tunaandaa vipindi vya Radio juu ya COVID 19...Docs ambao watakubali waturekodie Audio clip kwa lugha ya kiswahili vizuri tushee na watu wa vijijini ambako mainstream media hazifiki

07:13:56
Asante sana Asha.. Will be texting back soon

07:14:37
website yetu ni www.tadio.co.tz its network of community Radio in Tanzania we have 34 community radio all over Tanzania

07:15:11
we need kuwafikia watu wa mikoani ambao hawana TV na hawafikiwi na Gazeti wala hawana internet wanasahaulika...

07:15:13
@Irenca tafadhari wasiliana na kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma kilichopo chini ya Wizara ya Afya watakupatia spots na recorded materails kwa ajili ya uelimishaji.

07:15:30
my number +255688644622

07:15:30
can anyone join the whatsapp group or strictly doctors?

07:15:51
Pole sana Agnetta... is she back home now? Is she above 70 years? This will encourage other elderly people I know, for I will share with them

07:15:54
nipo pia kwenye kamati hiyo @oscar asante sanaaa

07:15:56
THANK YOU EVERYONE!!

07:16:16
asante @Felister on it

07:16:25
How do we join into the calls uliposema hapo?

07:16:53
asanteni sana Docs. be blessed this is so good.

07:17:00
thanks everyone.

07:17:04
pls add in WhatsApp group 0689929930 doris

07:17:12
thanks a lot 👏👏👏

07:17:17
thanks everyone

07:17:17
thank you so much

07:17:27
asanteni

07:17:51
me too naomba niaddiwe kweny group kwa namba +255765263443

07:17:51
useful discussions Ahsanteni mno

07:17:54
Thanks for sharing your experiences