
01:02:53
Nashauri TZ Serikali Iongeze Vituo Zaidi vya Kupima na Ku-Collect Wagonjwa Wenye Dalili(Symptoms) za Awali.

01:04:13
Je, kuna mkatatati wa serikali kuwa na usemaji kamili - maana yake ni kuwa sauti moja kati ya wakuu wa mikoa/wilaya vs, wizara ya afya? Wakuu hawa wanashauriwa na kutoa statements kutokana na maono ya wafanyakazi wa sekta ya afya?

01:04:24
Wataalamu wa Afya. Tunapata shida kuelewa hizo sababu za kiuchumi zinazo zuia kuchukuliwa hatua madhubuti za kiafya kuzuia corona kisa uchumi utayumba. Hali tunajua watu wakiumwa uchumi utayumba tu. Nini mtazamo na sababu zenu wachumi

01:05:18
Nashauri TZ Twende Phased Lockdown kwa Kufanya Kazi kwa Shift Na Tuache Ofisi Ziwe Sanitized Wakati wa Ku-Change Shift.

01:05:47
Due to current lockdown, quarantines and governments provisions , I strongly believe agricultural sector in particular food chain supply is highly affected. What is the contingency plan does our country Tanzania currently have with regard to food security plan.

01:06:08
nashauri elimu ya social distance ifanyiwe kazi haraka ili kila mtanzania ajitambue....pia sasa ni muda wa serikali kutoka tamko wa watu tufae barakoa....maeneo ya kariakko bado ni hatar sana

01:06:44
Nashauri Dar Iwe Temporarily Locked Down.Kuna Maeneo Yanaonekana Kuwa Hatarishi kwa Muingiliano TZ.

01:08:41
Hasa Dar,Tanga,Zbar,Mbeya,Arusha na All Northern/Western/Sea Border especially Indian Ocean.

01:10:56
Bado kuna ukakasi kdg kwenye issue ya kua lazima tuwe na mgeni toka nchi ambayo ina higher outbreak ndo tuwe worried, now Tanzania tuna cases kwa nini tusiwe tunapima tu kila mgonjwa anaekuja na Respiratory complaints? na tunafunga vyuo na shule lakn masoko ,mikusanyiko ya makanisa bado watu ni wengi mno hii ni aina gani ya kuepuka na infectious virus kama huyu?

01:26:22
hello! hii ni nzuri sana

01:27:13
Asante sana .. karibuni na maswali .. tujifunze pamoja!

01:27:51
hii lecture inayoendelea inahusiana na nn??

01:28:17
Kuandika Wosia

01:28:50
oooh thank you

01:29:19
Kwenye hii issue ya Will...nlitaka kufahamu kama mtu ana assets katika nchi baadhi ya moja je Will moja itaweza ku'cover zote na kuwa effective kwenye jurisdiction mbalimbali au nahitaji kuandika multiple Wills?

01:29:40
*nchi zaidi ya moja

01:30:42
Hilo ni swali zuri na la msingi John Dabs. Naamini atalijibu

01:31:32
Je, utafahamu vipi kama will imeandikwa na muhusika? lakini pia utafahamu vipi will ameandika kwa kushindikizwa na mtu au watu

01:32:06
Je kuandika will na kuwaonyesha watoto ambao bado wanasoma inaweza kuleta disadvanteages wasifanye biddii wakijua kuwa wameshapewa mali? How to deal with this challenge?

01:32:09
Uk hizi healthcare directive ziko the same as USA?

01:33:09
Ndugu Hussein ~ KUREKODI VIDEO NI USHAHIDI WA KUTOSHA. Rekodi na share na WATU MUHIMU WAHUSIKA. Hiyo ni uhakiki wa kutosha kuwa hayo ndiyo matakwa yako.

01:33:12
Kwahio unapokua una update lazima ufanye kwenye document zote?

01:34:11
Je niniktaka kuandika will kwa mali ambazo ni zako na mwezi wako inakuwaje ? Je ni lazima muandike wote wawili au?

01:35:14
who are the recommended people kuwa your witness wakati unaandika Will?

01:37:55
Leila Edward ~ Ni mtu UNAE MUAMINI, MWENYE UMRI WA MIAKA 18 NA KUENDELEA NA MWENYE VITAMBULISHO VYA KISHERIA. (LEGAL ID)

01:38:01
Asante Charles great presentation.

01:38:38
Napata shida kusokia sauti

01:38:51
kuna mtu ambaye ana same issue?

01:39:35
Samson - check "audio input" next to microphone

01:39:40
Nenda kwenye linki hii: http://tiny.cc/r0pumz

01:44:43
Hi document ya contingency plan inapatikana wapi?

01:44:59
ok

01:45:17
nimekupata Frank

01:45:30
Karibu mkuu

01:47:41
Vipi kuhusu watu binafsi na taasisi binafsi wanachangisha fedha kwa account zao kwa malengo ya kukusanya fedha dhidi ya kupambana na gonjwa hili…..Je Hii imekaaje????

01:48:10
What's the status of screening in Tanzania? How many are screened daily? What categories of people are screen?

01:51:28
perhaps, labda ueelezee kidogo “approved” inamaanisha nini, kwa mfano logo za serikali kuwepo kwenye vipeperushi etc... “Nguvu ya diaspora kwenye social media”

02:01:45
Great discussion. Hongera sana to DICOTA.

02:05:04
Nadhani kwa mtazamo wangu, kisera Tanzania bado kuna gap kwenye message. Kuna conflict between Political leadership and technical health expats. Do we think health expats have taken the needed leadership in shaping policies and influence political leaders who have a platform and credibility

02:14:05
Dr Kondo yupo on call today so maybe hayupo

02:18:30
Hii naielekeza kwa dada Tina, labda atusaidie ufafanuzi. Mfano kwenye kituo changu ninakofanyia kazi umewekwa utaratibu wa case screening (mahojiano) kwa wagonjwa wote wanaofika kupata matibabu, lakini huduma inayotolewa kwa mgonjwa ambaye ameonekana kuwa na vigezo vinavyomfanya kuwa suspect atapewa barakoa (mask) tu na kunawa mikono kwa chlorine na kumuelekeza aende kituo kinachohusika na matibabu ya Covid-19. Je, kwanini serikali isiweke utaratibu wa suspect wote kuwekwa quarantine eneo ambalo anakuwa suspect na mamlaka zifike kwa ajili ya kumsafirisha badala ya kuachiwa kuchangamana na watu wengine wakati anaelekea eneo lingine kufuatilia matibabu?

02:18:38
@Zawadi Tunaomba tukusanye nguvu na wailio Canada

02:20:46
@Zawadi kunamipango ya kutuma mask. My office is working on making some for donations

02:22:24
Hongera sana kwa mkutano mzuri

02:24:55
Kuna baadhi ya watanzania ambao wako US and CANADA ambao COVID huenda ina major implication kwao mfano wasio na mfumo rasmi, je kuna namna ya mnawasaidia,not necessarily financial

02:32:11
Swali: hamuoni kwamba raisi na mtazamo wake juu ya hili janga kama unachangia kukatisha tamaa Kwa watu kuchangia Kwa vile uongozi wa juu hauonyeshi mkazo wa janga hili?

02:34:07
Kwa hali ilivyo Tanzania now tunaingia stage 3, na sio wananchi wengi wanweza kuchukua maamuzi, mnashauri serikali ifanye nini zaidi kuhakikisha maambikizi hayaenei kupitia mikusanyiko? Swali ni kwa anyone ili Tina aweze kuchukua ushauri wetu apeleke mbele!

02:35:19
Ni kweli watu wanaweza kuchukua tahadhari kama kutokwenda kanisani au msikitini. Lakini wakati huohuo hao watu wanaambiwa waende makazini ambako wataweza kukutana na watu wengi lupita usafiri wa daladala nk. Hii inaleta confusion kwa watu. Streamlined leadership ni muhimu sana, hasa kwa Society yetu ya TZ.

02:35:49
Nimeongea na baadhii ya watu TZ nilifurahi Kasika kuwa makanisa yeti mengi wanasalia nje ya makanisa ili Kato a nafasi ya watu kukaaa Mbali.masharti mengine ya kunawa na kutosalimia inaelekea Kushiro kasi kwa Kidaso furani. Nadhani with more education people will continue to make good choices for themselvesh

02:40:47
Ukiangalia of recent, wagonjwa waliotangazwa walikuwa stage ya mwisho ya ugonjwa na wengine walifariki, inamaana kuwa kuna wengi wanaugua na wako ndani ya community ambao ni asymtomatic, Je tunashauri nini wananchi na serikali ya wa Tz hapo

02:41:20
Hata Marekani "suspects" wanaambiwa kufanya self quarantine. Kama Governor Cuomo. PM Boris Johnson ambaye alienda Hospitali baada ya kuzidiwa.

02:41:23
@Tina Tunaomba ufafanue kuhusu ile pillar ya logistics kama barakoa, ventilators je seri kali imejipanga vipi? Maana hili ni tatizo kubwa dunia nzima

02:41:56
Asante kwa discussion hii nzuri! Tunaweza kujua ni lini TZ itaanza decentralised testing.. zonal/regional..

02:43:37
Hivi kuna takwimu ya wangapi wamekuwa tested Covid 19?

02:44:54
www.pamojawecan.wildapricot.org

02:47:31
Hi. I joined late.I just wanted to add that the MOHCDGEC has also drafted SOPs ragarding PLHIV care in the context of Covid19.I work with PEPFAR Tanzania

02:49:45
@Tina je kama serikali, imejipanga vipi kupokea vaccine ikitokea imeletwa tz, je tutalazimisha watu kuipata?

02:51:27
Agnetta Kamugisha: 919-724-2291Nassaro Basalama: 919-519-1624Tina Lasway: 919-309-6994Nabila Ghassany: 404-988-2178Zawadi Sakapalla-Ukondwa 301-379-2342

02:52:38
Dr Tina. elimu ya donning and doffing N95 masks is key kwa health care providers na wananchi to prevent contamination. ni muhimu kufanya respirator fit testing

02:54:49
record ya hii meeting will be shared? good discussion.

02:55:25
asanteni sana. mbarikiwe stay safe

02:55:47
thM

02:56:23
Thanks everyone-very informative discussion. It was good to hear from those who are in Tanzania. Ahsante sana

02:56:29
Great talk indeed. well done DICOTA!

02:56:31
Asante sana Viongozi wote kwa kujiunga nasi

02:56:53
Asanteni sana woote

02:56:54
thank u all , together we can God is with us

02:57:00
TUHEDA has collected funds for PPE and it will be send wizara ya afya

02:57:13
Asanteni wote. #Tukopamoja

02:57:15
asanteni sana

02:57:16
Well done DICOTA and the rest. Keep the same spirit....! Thanks

02:57:17
Aksanteni saana!