Zoom Logo

Majadiliano na Wataalamu wa Afya WaTZ kuhusu janga la COVID-19 - Shared screen with speaker view
Lunda Asmani
54:22
we will be shortly removing all those with only one name.
Lunda Asmani
54:45
good day everyone. we will be shortly removing all those with only one name. please include first and last name. poleni .
Hussein Salum
55:48
recording permission please?
Lunda Asmani
56:12
good day everyone. we will be shortly removing all those with only one name. please include first and last name. poleni .
Didas Lyamuya
57:15
Noted
Lunda Asmani
57:47
good day everyone. we will be shortly removing all those with only one name. please include first and last name. poleni .
Lunda Asmani
59:56
thanks Sware πŸ‘Œ
Saidi Kuganda
01:01:30
mbona sisikii.
Hussein Salum
01:02:08
check your audio connection please
Mwemezi Deusdedit
01:02:23
Inabidi uingie kwa kupiga simu. Bofya kwenye Audio itakupa namna ya kupiga simu na kujiunga na ID yako etc
Saidi Kuganda
01:03:22
ok
Joseph Jumanne
01:04:17
vizuri sana
waziri ndonde
01:05:39
ningefurahi sana baada ya mkutano huu share these presentation
Bernard Chisumo
01:12:18
no sound
waziri ndonde
01:12:29
dr frank husikiki
Chambi Chachage
01:13:27
Kuna madokta wa Tanzania wanajaribu kuingia wanashindwa, wamejaribu njia zote mvili - ya kutumia password (wanadai wametolewa) na ya kupiga sims.
Axel Malekia
01:14:12
Dr. Frank we can't hear you
waziri ndonde
01:15:00
I would to hear your question Dr Frank before you went off
Frank Arabi
01:16:21
Habari.
Isaac Maro
01:16:47
hello
Kassim Sheghembe
01:17:37
asanteni jamani kwa hii jitihada
Henry Musira
01:17:57
hallow
Lunda Asmani
01:23:59
good day everyone. we will be shortly removing all those with only one name. please include first and last name. poleni .
Peter Khamisi
01:25:02
Katika huu mkurupuko wa COVID19, hali ya watu kukaa mbali na wengine yani social distancing inaweza tekelezwa aje kwenye watu wanoakaa vidongoji kwenye chumba kimoja na pia wanatumia choo kimoja?
Peter Khamisi
01:28:28
Tunaambiwa kwamba COVID19 inaweza ambukizwa kupitia Kinyezi maji maji, ama fecal sludge, ama mavi, ni mikakati gani imewekwa kuwalinda wafanyi kazi wa kuzoa maji taka ya mavi, yani manual na mechanical emptiers?
Alex Nkayamba
01:30:13
Naomba maoni kutoka kwa Key Speakers kuhusu Uwezekano wa BCG vaccination coverage kupunguza athari za COVID 19 kama ambavyo imeelezwa kwenye one publication
Hussein Salum
01:31:38
QN: Je tumefikia wapi kwenye Vaccine?
Hussein Salum
01:32:45
Vipi kuhusu kujaribu kufanya research kwenye miti shamba
Felicia Simms
01:33:02
Nadhani Admins Wameomba kuwa MASWALI YOTE YATUMWE KWENYE EMAIL tuliyo elekezwa in our access email
Denis Bikaru
01:33:05
Hi guys, I am late a bit. I sent some questions through email. are you done with questions posted in your email?
Kassim Sheghembe
01:33:07
QN: vipi kuhusu mask?
Rashid Litanda
01:34:58
Is it true that old aged are more vulnerable than other groups?
Saidi Kuganda
01:38:52
tuambieni kuhusu dawa zetu za kiasili. kwanini tusiongeze uwezo wa tiba asilia?
Gideon-London
01:42:32
how many ventilators have you got at Muhimbili. how many NIV have you got ? Well done Dr Sawe and Karima for the publication. Je kuna maanadlizi mengine ?
Hussein Salum
01:42:57
kuna mmea unaitwa TUN TUN Bukoba unapatikana nimeambiwa kwamba unauwezo wa kupambana na Corona, Je wataalamu wetu hawawezi wakafanya utafiti wa hizi mimema
Gideon-London
01:43:00
how many ventilators have you got at Muhimbili. how many NIV have you got ? Well done Dr Sawe and Karima for the publication. Je kuna maandalizi mengine ?
Hussein Salum
01:43:15
Bukoba zinapatikana sana pia mwanza na Mbeya
Hussein Salum
01:43:53
mimi niko Bukoba nimeziona sasa je haiwezekani kufanya utafiti
ASHURA BAKARI
01:45:16
Ahsante sana Dr.Karima,kuna mpangilio wowote ulowekwa kuwatransfer wagonjwa mahatuti wanohitajia high level of care Kotoka hospital ndogo ndogo kwenda hospital kubwa.
Dr saria
01:45:46
Tusisahau pia oxygen concentrators zinaweza kutoa pure oxygen up to 90+ %
Saidi Kuganda
01:46:19
unadhani tunao huo muda wa tafiti kwa udharura huu? wazo langu ni kuwa wakusanywe wote wanaodai kuwa na dawa. wakae sehemu moja wafanye demonstration then tutest inayoonekana bora
Irene Makene
01:46:27
Hongera sana Dr. Karima... this is great
MASANJA SAIMON LUMANEJA
01:47:44
Hongereni presenters.
Saidi Kuganda
01:48:46
Karima hongera, maashaallah
Fortunata Charles
01:52:41
Sioni video
Bernard Chisumo
01:52:53
sauti ongeza
Irene Makene
01:54:39
Jesus
Irene Makene
01:54:57
uwiiiiiii jamani this comes real hadi usikie toka kwa mtu kama hivi
Irene Makene
01:55:11
Poleni sana
Irene Makene
01:55:35
Mungu awalinde jamani ....this is so emotional
STELLA Mwanga
01:56:16
Mungu awalinde kwa huduma kubwa hii
Gideon-London
01:57:19
Kissa- pongezi nyingi kwa kazi ngumu -frontline na mask au barakoa hazitoshi-keep up the good work- Gideon Mlawaβ€”Londoni
Axel Malekia
01:57:39
God protect you all. You are doing a great job in difficult circumstances. God bless you.
Gideon-London
01:57:52
To Dr Karima and Dr Sawe how many ventilators have you got at Muhimbili. how many NIV have you got ? Well done Dr Sawe and Karima for the publication. Je kuna maandalizi mengine ?
Felicia Simms
01:57:59
N94 ni nzito sana material yake na SI YA KUVAA KWA MUDA MREFU
Gideon-London
01:58:01
how many ventilators have you got at Muhimbili. how many NIV have you got ? Well done Dr Sawe and Karima for the publication. Je kuna maandalizi mengine ?πŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏ
Gideon-London
01:58:30
how many ventilators have you got at Muhimbili. how many NIV have you got ? Well done Dr Sawe and Karima for the publication. Je kuna maandalizi mengine ?πŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏ Gideon Mlawa -London
Irene Makene
01:58:38
Juzi nilivaa hizo N95 nilipata tabu sana kupumua
Irene Makene
01:59:11
kumbe lazimwa kupimwa kabla ya kuvaa?! Asante kwa elimu hii Dada Kissa
Kassim Sheghembe
02:00:00
vipi kama mgonjwa akivaa mask, lengo liwe kupunguza maambukizi. Kama kitambaa kunapunguza asilimia 5, hiyo sio haba
Felicia Simms
02:00:02
Irene Makene ~ Huo ni kweli. Hata mimi pia hunisumbua ndio maana tunapimwa size ya kuva na unajitahidi kujipanga vizuri kabla ya kuingia kwa mgonjwa ili kutumia muda wako vizuri ukiwa mle ndani usikae muda mrefu mno. MAana jasho linaanza na kukutoka!
Peter Khamisi
02:00:15
Taka za barakoa zinashugulikiwa vipi kimazingira kwa sababu watu wanazitupa ovyo ovyo, kwa sababu hizi barakoa badaye zinaweza kuwa njia nyingine ya maambukizi?
Irene Makene
02:01:22
Pole sana Dada Kissa jamani....Jesus this is too hard for me.. Mungu awabariki mno wauguzi na madaktari. Will pray for you leo Rozari. Mungu awape nguvu na moyo na
Irene Makene
02:01:30
I am speechless
Saidi Kuganda
02:01:37
Dah!! Nurses mpo katika mtihani mzito sana, poleni
raymondmutagahywa
02:01:39
This is sounding down right scary. Poleni Kissa :(
Fortunata Charles
02:02:00
Kissa Hongera sana kwa ujasiri huo mkubwa na kutuelimisha
raymondmutagahywa
02:02:36
How confident are we in the TZ statistics?
raymondmutagahywa
02:02:41
Are we doing enough tests?
Nuru Leah
02:02:49
Poleni Sana Kissa - and all fronts liners - Mwenyezi Mungu awalinde
Fortunata Charles
02:03:38
Pole sana Dada Kissa
karen Lwakatare
02:04:15
Poleni sana nurses wote na Doctors Mungu awatangulie na tuendelee kuombeana.
Kurwa Nyigu
02:07:05
Dada Kissah poleni sana maana naona hili janga linavyowaelemea wahudumu hapo New York.
Aisa Muya
02:07:08
sasa huko kwenu mambo ni hayo huku kwetu tutapata kweli hizo oxygen za kutosha? Poleni sana kwa kazi nzito. Na Mungu awalinde sana. we pray for all of you
STELLA Mwanga
02:09:05
Tunaomba ushauri jambo la tiba mbadala. je kitengo cha dawa za asilli MUHAS wanatoa ushauri gani hapa.
Axel Malekia
02:09:07
Je is COVID-19 air-borne ? Please help to clarify this Drs.
Bernard Chisumo
02:09:31
leo nimesikia mkuu wa mkoa wa dar akitoa lugha tata kuhusiana covid .Yeye anasema watu watoke .Nyie Dr mnasemaje kuhusiana na hizibkauli kwani zinapingana na kauli za waziri
Ezekiel Kassanga
02:09:44
Kuna habari kwenye social media kuwa kuna uhitaji wa kufanya majaribio ya chanjo Africa. Je, ni kweli kuwa kuna mafanikio ya upatikanaji wa chanjo? Vipi kuhusu tiba?
Gervas nyaisonga
02:10:08
dada kisa na doctor kutoka UK ... severity of disease interms of morbidity and mortality between africans(blacks) and other races ipoje
Bernard Chisumo
02:10:24
je serikali imesambaza PPE ngapi nchini?kuna baadhi ya hosp hapo dodoma hakuna hizo PPE.
linatha rashid
02:11:38
Also i would like to ask the relationship ya countries affected with malaria na COVID19
Bernard Chisumo
02:11:43
pia nimemsikiliza Dr mwingine leo alikuwa anaojiwa na mwananchi akasema jua kali linauwa virus .Je ni kweli
Felicia Simms
02:11:44
https://www.who.int/news-room/commentaries/detail/modes-of-transmission-of-virus-causing-covid-19-implications-for-ipc-precaution-recommendations
Nelson Jonas
02:11:59
O2 concentrator inasaidia?
Felicia Simms
02:13:20
Yes. Oxygen concentrator is VERY VALUABLE. Provivided Umeme uwepo
Saidi Kuganda
02:13:24
mie sidhanii kama wachina wana dawa nyingi za kiasili kuliko sisi hasa Africa.
Saidi Kuganda
02:14:28
tujaribuni na sisi za kwetu. All in all its a matter of supportive treatment.
Emmanuel Minja
02:14:44
how many physicians are in Tanzania or Dar and how many have access to PPE, or simply surgical or N95 masks?
Pius Muzzazzi
02:14:47
What does research say about effects of COVID19 in Pediatric population? Hatusikii sana kuhusu watoto, kitu gani kinafanya wasiathirike sana?
Kurwa Nyigu
02:15:12
Kwenye swala la social distancing Tanzania (ukizingatia mazingira yetu ya kubanana majumbani) itakuwa ngumu kufanya 100% kama inavyofundisha nchi zinazoendelea. Je waelimishaji wa afya Tanzania (wizara etc) wanachukua hatua gani kujaribu kupata mawazo kutoka kwa wananchi wanayoishi mazingira hayo kuweza kuchangia mawazo jinsi gani tunaweza kuvumbua njia zetu unique to our situation.
Florence Temu
02:16:45
Kwetu tukazane na preventive measures sambamba na preparedness incase of a surge... Prevention iwe jukumu la kila mmoja kibinafsi.. bila kusubiri kuambiwa - wish mngekuwa na live session on ITV or any other local station watanzania wengi wasikie, lengo ni kuzingatia kinga kwa bidii.. social distancing badoo
Ally Issa
02:18:19
Vipi herd immunity kwa upande wa tanzania
Denis Bikaru
02:18:48
1. I would like to know why Corona seems not to affect children under five since their immunity is not strong?2. Why Corona causes less mortality among African race as compared to Asian and Europeans? Is there any regional factors on virus mutation?3. we heard US have found vaccine and treatment for COVID-19 e.g. the use of chroloquine, is it true? If yes why WHO is silent on this?
Ally Issa
02:18:51
na je tunaweza kufanya complete lockdown kwa upande wa tanzania
ROBI WAMBURA
02:19:16
kwa kweli suala la socia distancing ni tatizo hasa watu wanapotafuta riziki, mfano mzuri minada ya samaki watu wanapogombania mzigo, hawasikii wala kukubali kusubiri. tumeongea nao leo hawakufikia muafaka
jacqueline shoo
02:20:48
vipi wagonjwa wanaofanya dialysis ambao wamepata covid19
Abuu Diwani
02:20:54
kwanini Tanzania wasiwapime wasafiri kutoka nje badala ya Quarantine for 14 days?
Bernard Chisumo
02:21:35
je mwanamke pregnant mna mtreat vipi akishikwa na corona virus?
Nyagwaswa Michael
02:21:42
Do we admission criteria kwa wagonjwa wa COVID 19 kulazwa ICU
Nyagwaswa Michael
02:22:01
Do we admission criteria kwa wagonjwa wa COVID 19 kulazwa ICU
J Kamazima
02:22:17
This question is to the nurses specifically, is it true that most Covid patients come into the hospital mostly at night because that's when the conditions get worse for those with severe symptoms?
Nyagwaswa Michael
02:23:22
Do we recommend the use of HFNC kwa wagonjwa wa COVID 19?
Patrick_Kinemo
02:25:02
kwanini Tanzania wasiwapime wasafiri kutoka nje badala ya Quarantine for 14 days? - (i) Possible Answer> I suspect is availability of test kits, i imagine officials are rationing them (ii) But more worrying would be if it is done deliberately so as to avoid registering actual numbers of infected individuals..i hope this isn’t the case
Felicia Simms
02:25:49
Ndugu Nyagwaswa nimekutumia Articles 3. Zinaweza kukusaidia
Felicia Simms
02:26:41
https://medicine.uiowa.edu/internalmedicine/covid-19-guidelineshttps://www.sccm.org/Disaster/COVID-19-ICU-Preparedness-Checklist
Felicia Simms
02:26:55
https://smw.ch/article/doi/smw.2020.20227
Felicia Simms
02:27:25
Natumaini hizo zitaweza kutoa mwangaza katika eneo hilo
Julius Masanika
02:27:26
kuhusu barakoa, mbona nilisikia coronavirus particles ni kubwa kiasi kwamba hata normal barakoa zinasaidia kuzuia kupenya?
saida yassin
02:30:47
Sasa hihi Marekani discussions za disparity ya testing black patients imeanza, which proves the point it also affects black patients, though they maybe tested less.
ROBI WAMBURA
02:31:18
moshi unaotolewa na mvuta sigara unaweza kubeba vimelea vya COVID 19?
Nyagwaswa Michael
02:31:38
shukrani sana Felicia
Irene Makene
02:33:05
Asante Felicia
Ezekiel Kassanga
02:33:33
Please, kuna hatua yoyote ya mafaniko kuhusu upatikanji wa tiba?
Julius Njunwensi
02:37:05
Nini hasa kinapimwa ili mtu anapimwa ili mtu aweze kuvaa barakoa za N-95?
Irene Makene
02:38:23
Duty calls.... ila kabla sijatoka nawashukuru sana waandaaji wa huu mdahalo lakini pia frontier wote. Mungu azidi kuwasimamia na kuwapa nguvu... Tunawaombea and we are greatful kwa kujitoa kwenu. Msichoke kutuelimisha lakini pia tuendelee kuja na majibu au njia za kusaidia zaidi mapambano haya.. Asanteni sana
Issa Mshani Mshani
02:38:49
herd immunity
Gloria Kahamba
02:38:59
Regarding children: in Kenya, a 6-year old passed away but seems he/she had underlying illnesses
Nyagwaswa Michael
02:39:04
wauguzi wanaohudumia wagonjwa wa COVID 19 wanapomaliza shift zao, wanarudi nyumbani au wanabaki hapo Hospital??
Dr. Josephine Ballati
02:39:15
suala la contact tracing pia ni muhimu though sometimes kuna changamoto. kwa TZ pia ingekuwa vizuri capacity & access ya kupima iongezwe esp kwa wale wanaohisi wanazo dalili zote za covid 19.
Irene Makene
02:40:15
Kuna video clip inasambaa mtu anafukiziwa mvuke wa maji moto anaclaim kuwa sawa later...Je ni kweli iyo steam inasaidia kupunguza makali ya ugonjwa hadi kuua virusi...!!
Makunda Kassongo
02:41:08
kuna matumizi gani ya technology (telemedicine) kuwahudimia wagonjwa walio katika hard to reach areas in the near future
Kassim Sheghembe
02:41:09
vipi barakoa za vitambaa, kama watu wanaweza kutengeneza?
Sia Mawalla
02:41:22
Je, ukipata corona ukapona, unakuwa na immunity?
Sia Mawalla
02:42:39
Kwa nini Tanzania hawapimi watu wengi zaidi? kwa mfano, wabunge waliomba kupimwa ila haijulikani kama wLikubaliwa.
saida yassin
02:43:19
Kuhusu kushow up in the afternoon hitting the Emergency rooms- it was an observation in Italy
Petronila Mlowe
02:43:52
je key workers wanawasaidiaje katika kuhaKikisha covid 19 control ktk nchi zetu?
Deborah Carpenter
02:44:12
Thank you all for sharing real time, practical cases and solutions. very helpful, informative. shukran sana
Lunda Asmani
02:44:33
if you still have questions. please type via chat.
saida yassin
02:44:33
Kuhusu social distancing, hospital za tanzania mmeanza kulimit wageni waokuja mahospitalini? Sisi tumeimplement no visiting or 1 relative for comforting
Sia Mawalla
02:44:44
Je, kama una barakoa N95, unaweza kuzisanitize na kutumia tena?
ishengoma justus
02:44:50
je kauli ya marekani kuiitaji madaktari kutoka Africa na sehemu nyingine duniani imekaaaje?
Felicia Simms
02:47:08
Sia Mawalla ~ That is what is happening now. Sanitize it, keep it in a bag with the inner part folded in and reuse
J Kamazima
02:47:08
For mental health purposes I think it's important to emphasize that while we are to socially physically distance we should still stay connected socially(virtually). It's vital for psychological and mental health wellbeing. Isolation can stir up a lot.
saida yassin
02:47:57
Has resources za NICU, too
saida yassin
02:48:04
https://covid-19.uwmedicine.org/Pages/default.aspx
Dr. Josephine Ballati
02:48:42
Public Private Partnership to fight COVID 19 ni muhimu sana. we need to join hands ili tuweze kuwa na juhudi za pamoja.
Dr Jovin Tibakweitira
02:52:19
Asante Dr Hamzah kwa ujumbe mzuri
Fortunata Charles
02:53:43
Asanteni sana wataalamu kwa uzoefu wenu, Dr Frank asante kwa ku moderated Mkutano huu , tumefaidika sana.
Axel Malekia
02:54:38
thank you very much
Patrick_Kinemo
02:54:43
Asante
Axel Malekia
02:54:47
this was powerful
ROBI WAMBURA
02:54:47
ASANTE SANA
Kassim Sheghembe
02:54:48
asante